BANDA MEDIA BLOG

Polepole, Tundu Lissu Anatakiwa Ajibiwe Kihoja Kama yeye Anavyoleta Hoja...Vinginevyo Mnamuonea


Comrade,

Nguvu ya Lissu ipo kwenye hoja. Sio kwenye kitu kingine chochote. Hoja dawa yake hoja, hoja huzimwa kwa hoja na hakuna namna nyingine.

Hoja iwe ya kweli ama ya uongo, isipojibiwa kwa hoja yenye nguvu zaidi, inabakia kuwa valid na kuwa na nguvu kwenye vichwa vya watu.

Mfano, hata mtu akasema jua ndio huzunguka dunia, halafu akatoa vielelezo vya kutetea hoja yake, halafu badala ya kujibiwa kisayansi zaidi akizabwa kibao, ndio hoja yake inakuwa imekwisha!?

Polepole, kwa nini mko kimya namna hiyo!?

"Speak brother!"

Historia inaonesha kuwa hakuna njia ambayo ishawahi kuwa na ufanisi wa kudumu katika kuzima hoja yoyote ile zaidi ya hoja yenyewe.

Usitembee juu ya ardhi kwa majivuno

By Betlehem/JF

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG