Katika hali ya kuonesha kukerwa na tabia ya diamond kutoka na mshiriki
wa big brother 2013 dillish mathews zari amepost kwa page yake ya
snapchat kuonesha kwamba hachoshwi na batavuzi ndogo ndogo na kuamua
kununua gari mbili aina ya mercedes benz g 63 na bentley mulsane...Aanza
Kumkubaka Marehemu Ivan Katika Posts zake