HomeRAIS WA MSUMBIJI Picha: Rais wa Msumbiji Atua Nchini byJohn Banda -Thursday, December 14, 2017 0 Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewasili mjini Dodoma kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Tags RAIS WA MSUMBIJI Facebook Twitter