BANDA MEDIA BLOG

BARAZA KUU LA CWT LAKUTANA MJINI DODOMA KATIKA MKUTANO WAO WA MWAKA

Kaimu katibu mkuu wa Chama cha walimu nchini [CWT] akizungumza jambo kwenye mkutano wa baraza kuu la umoja huo mjini Dodoma, Kushoto ni Rais wa Chama hicho Leah Ulaya


Wajumbe wa Baraza kuu la Chama cha walimu Nchini [CWT] wakiwa katika ukumbi wa Royal mjini Dooma walipokutana kwa ajili ya mkutano wao wa mwaka. [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG