BANDA MEDIA BLOG

No title

BENKI YA CRDB YASHIRIKI MAONYESHO YA WADAU WA UJENZI NA MAKANDARASI HUKU IKIWATAKA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KWA KIWANGO BORA HUKU WAKIJIVUNIA MIKOPO INAYOTOLEWA NA BENKI HIYO YA MPAKA BILLION 2  
Afsa uhusiano wa Benki ya CRDB Willy Kamwela akifafanua jambo mbele ya Naibu waziri wa ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya wakati naibu waziri huyo alipotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya wadau wa ujenzi yaliyoambatana na mkutano mkuu wa Bodi ya makandarasi nchini uliofanyika jijini Dodoma ( katika ni afisa maendeleo ya biashara wa benki hiyo Nassib Mshana. 
Afsa uhusiano wa Benki ya CRDB Willy Kamwela akifafanua jambo mbele ya Naibu waziri wa ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya wakati naibu waziri huyo alipotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya wadau wa ujenzi yaliyoambatana na mkutano mkuu wa Bodi ya makandarasi nchini uliofanyika jijini Dodoma ( kushoto ni afisa maendeleo ya biashara wa benki hiyo Nassib Mshana. (PICHA ZOTE NA JOHN BANDA)

 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG