BANDA MEDIA BLOG

No title

KAMPUNI YA TANGA CEMENT/ SIMBA CEMENT YAWATAKA WADAU WA UJENZI WAKIWEMO MAKANDARASI KUJUA UMUHIMU BIDHAA YAO ISIYOHALIBIKA INAYOCHANGIWA NA JIWE LA CHOKAA LENYE UBORA WA ASILIMIA 90
Naibu waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akielekeza jambo wakati alipotembelea  banda la maonyesho la kampuni ya Saluji ya TANGA CEMENT/ SIMBA CEMENT ambapo kampuni hiyo ilishiriki katika maonyesho ya wadau wa ujenzi yaliyofanyika jijini Dodoma ulipofanyika mkutano wa Bodi ya Makandarasi, (Kushoto mwenye koti ni Meneja Biashara Leslie Massawe, mdhibiti Ubora Enock Joseph, meneja mauzo wa mkoa Said Popat na Erasmus Ngowi (Papaa Kajitu)
Meneja Biashara wa TANGA CEMENT/ SIMBA CEMENT Leslie Massawe, akifafanua jambo mbele ya Naibu waziri wa ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya wakati kampuni hiyo iliposhiriki maonyesho ya wadau wa ujenzi jijini Dodoma (PICHA ZOTE NA JOHN BANDA)


 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG