BANDA MEDIA BLOG

No title

 BENKI YA (NMB) YASHIRIKI MAONYESHO KWENYE MKUTANO MKUU WA MAKANDARASI ULIOFANYIKA JIJI DODOMA KWA SIKU MBILI, HUKU KAMPENI YA TELEZA KIDIGITALI INAYOHUSISHA MIKOPO KWA NJIA YA SIMU YA KIGANJANI TENA BILA LIBA IKISHIKA KASI



Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata maelezo ya huduma zinazofanywa na Benki NMB toka kwa 
Meneja uhusiano wa benki hiyo kitengo cha Bima Lilian Mollel 
 (kulia) 

Meneja uhusiano wa benki NMB kitengo cha Bima Lilian Mollel, akionyesha moja ya maandishi ya kampeni za Bima ambazo zinatolewa na benki hiyo (PICHA ZOTE NA JOHN BANDA)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG