MBUNIFU WA BAISKEL INAYOTUMIA NGUVU YA UMEME JUA NA KWAMBA ITAKAYOTUMIWA NA WATU WENYE ULEMAVU RAYMOND DAVID, AIONYESHA BAISKEL HIYO KWENYE MAONYESHO YA WIKI YA UBUNIFU MAKISATU YANAYOENDELEA KATIKA UWANJA WA JAMHURI JIJINI DODOMA
Raia wa nchini china Rhee Si Young na Hyop Rhee wakifurahia jambo na Mbunifu Raymond David toka chuo cha ufundi Arusha Tanzania, walipokuwa wakipata maelezo kuhusu baiskel ya miguu mitatu iliyobuniwa kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa miguu, baiskel hiyo inatumia umeme jua.
Mbunifu wa baiskel ya umeme jua Raymond David akielezea jambo mbele ya raia wa kichina waliovutiwa na ubunifu huo utakaokuwa na tija kwa watu wenye ulemavu kutokana na kurahisishiwa garama za uendeshaji wake. 9PICHA NA JOHN BANDA)
Raia wa nchini china Rhee Si Young akielezea jambo mara baada ya kuikagua baiskel hiyo ambayo imekuwa kivutio kikubwa katika maonyesho hayo