BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI MKUU MGENI RASMI WIKI YA SEKTA BINAFSI 2024

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Sekta Binafsi 2024, yaliyofanyika katika ukumbi The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, Julai 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bure na Uratibu) Jenista Mhagama Ripoti ya Mchango wa Sekta Binafsi katika Uchumi wa Nchi kuanzia mwaka 1992 – 2023, wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Sekta Binafsi 2024, kwenye ukumbi The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, Julai 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenyekiti Mstaafu wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (2003-2008) Elvis Musiba tuzo ya kutambua mchango wake katika kukua kwa sekta binafsi wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Sekta Binafsi 2024, kwenye ukumbi The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, Julai 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG