BANDA MEDIA BLOG

DKT. MWIGULU ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MSIBA WA MZEE EDWIN MTEI, ATOA HESHIMA ZA MWISHO

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), marehemu Mzee Edwin Isaac Mtei, Nyumbani kwa marehemu Tengeru (Chama), Wilaya ya Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Januari 24, 2026. 

 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), marehemu Mzee Edwin Isaac Mtei, Nyumbani kwa marehemu Tengeru (Chama), Wilaya ya Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Januari 24, 2026. ambapo Dkt. Mwigulu ameongozana na Mkewe Neema Mwigulu.

‎Mheshimiwa Dkt. Mwigulu anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Mzee Edwin Issac Mtei.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG