BANDA MEDIA BLOG

DKT. MWIGULU ASHIRIKI AZANIA BANK BUNGE BONANZA 2026

 

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 ameshiriki kwenye Azania Bank Bunge Bonanza 2026 linalofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma.

Bonanza hilo limewahusisha Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge, Taasisi mbalimbali pamoja na wananchi.

Kaulimbiu ya bonanza hilo ni “UMOJA WETU NI NGUVU YETU.”

        

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG