BANDA MEDIA BLOG

IRAN YAPIGA TENA BOOM DUBAI, MASHIRIKA YA NDEGE YATANGAZA KUSITISHA SAFARI

Iran imeushambulia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dubai kwa drone ya kivita leo Jumamosi March 07,2026, imeripoti Televisheni ya AlJazeera.

Tayari Mashirika ya ndege ya Kimataifa ikiwemo Emirates yametangaza kusititisha safari zote za ndege za kuingia na kutoka Dubai na kutoa tahadhari kwa Abiria kutotembelea eneo hilo hadi taarifa nyingine zitakapotolewa.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG