BANDA MEDIA BLOG

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA JUMAPILI YA NNE YA KWARESMA SONGEA

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameungana na Waumini mbalimbali katika Misa Takatifu ya Jumapili ya Nne ya Kwaresma, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Mathias Mulumba Kalemba, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Leo tarehe 15 Machi 2026.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG