WIZARA YA ELIMU KUWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA 2026/27
byJohn Banda-
0
Bungeni, Dodoma…!
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof. Adolf Mkenda amewasili bungeni jijini Dodoma ambapo leo tarehe 7 Mei 2026 atawasilisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.