BANDA MEDIA BLOG

RAIS SAMIA, RAIS PUTIN WASHIRIKI KONGAMANO LA KIMATAÍFA LA BIASHARA ST. PETERSBURG (SPIET’26)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Kongamano la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF’26) linalofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa ExpoForum Convention Center nje kidogo ya Jiji la St. Petersburg nchini Urusi, tarehe 05 Juni, 2026  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026. Kongamano hilo limewakutanisha Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Taasisi za kukuza Uwekezaji kutoka Tanzania na Urusi.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG