Harambee hiyo itafanyika Septemba 27,2026 kwa maana ya Jumapili ya week end hii, katika kanisa la Anglikana Tanzania Parishi ya Nguji kata ya Mkonzi jijini Dodoma, ambapo Mchungaji wa Kanisa hilo Beatrice Yaremia ndiye anayekukaribisha ushiriki umaliziaji wa ujenzi wa nyumba ya utumishi ambayo imefikia kama inavyoonekana kwenye picha, bado zamu yako kuchota baraka karibu sana na uliyembali shiriki kwa chochote ulicho nancho kwa kututumia kupitia mtandao wa YAS 0719 052620 JINA BEATRECE YEREMIA
Tags
HABARI
