Anguko linalo kuja ni kubwa sana kama viongozi hawato acha kuwasililiza machawa na kupunguza ujuaji.
Mwaka Jana waliletwa wachezaji wengi sans lakin hakuna walicho fanya mpka pale Dirisha dogo walipo kuja wakina Okello..Depu..Camara nk.. walau timu iliweza kubisha na kuvuja jasho,mpira ukachezwa vizuri kiasi kwamba aliye ferisha ni kocha aliye kuwepo..falsafa yake ndio ilifanya Yanga kuishia hatua ya makundi ingawa kundi lilikuwa gumu ila timu ilionyesha uthubutu. Mistake ndogo ndogo ndio iliyo gharimu timu hasa mfumo wa kumwogopa mpinzani.
Lakini wachezaji wote walio wahi kuleta uhai kwenye timu tofauti na lile kundi wrote hawapo. Wameletwa wengine na kocha wa daraja la kawaida. Wachezaji pia wa kawaida matokeo yake ni hili pira bovu. ..
Ukisema ukweli watu wanatokwa povu.. Yani tumezoea kusifia kila kitu. Haya kwa akili ya kawaida hii timu inawesa kuokota point hata Moja mbele ya FAR RABAT..AL AHLY au JS KABYLE?.
