BANDA MEDIA BLOG

ALIKIBA NA FAMILIA YAKE WASHEREHEKEA BIRTHDAY YA MWANAE, AMAYA


Alikiba ni baba anayekumbuka majukumu yake ya ubaba.

11363645_192209481161746_502612829_n


Alikiba akikata keki na birthday girl, Amaya

Katika kuhakikisha kuwa wanae wanakuwa na furaha, muimbaji huyo wa ‘Nagharamia’, alimwangushia birthday ya nguvu mwanae wa kike, Amaya Ally Kiba.

12070761_1750536968511537_1327157452_n


Amaya (Kulia) akiwa na watoto wenzie

Sherehe hiyo iliyofana ilihudhuriwa na ndugu wote wa karibu wakiwemo mama yake, kaka zake na dada yake Zabibu. Mama wa mtoto huyo pia alikuwepo.

12328501_766542360143660_1733622107_n


Family First: Alikiba akiwa na mama yake, na wadogo zake

Check picha zao sherehe hiyo hapo chini.
12224403_1078484825545693_1198849873_n
12383671_1760234514263027_1064563104_n
12519548_938038432977512_1374517717_n
12816876_995282873890482_300522677_n
12912403_248910312121265_1692428777_n

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG