HomeMICHEZO KIMATAIFA Serengeti Boys Wakaza Mbele ya Waghana byJohn Banda -Monday, April 03, 2017 0 Serengeti Boys wamefanikiwa kulinda rekodi yao ya kutopoteza mechi nyumbani na pia kufunga angalau mabao mawili kila mechi ya nyumbani baada ya kutoka sare ya bao mbili kwa mbili dhidi ya Timu ya Vijana ya Ghana... Tags MICHEZO KIMATAIFA Facebook Twitter