BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI DKT.HARRISON MWAKYEMBE ATEMBELEA TBC NA AZAM MEDIA


NA ShamimuNyaki WHUSM
A
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiasini kitabu cha wageni alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kwa ajili ya kukutana na watendaji wa Shirika hilo leo Jijini Dar esSalaam.Kulia ni Mkururgenzi Mtendaji wa shirika Dkt Ayoub Ryioba.
A 1
 Waziri wa Habari Utamaduni  Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (watatu kulia) akimsikiliza Fundi Mitambo wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Bw.Kasimir Chitenda (alievaa fulana) wakati alipofanya ziara katika shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.
A 2
Mkururgenzi Mtendaji Shirika  la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt Ayoub Ryioba akitoa maelezo kuhusu utendaji wa Shirika kwa Waziri wa HabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia ) pamoja na watendaji wa shirika hilo wakati wa Ziara yaMhe. Waziri leo Jijini dares Salaam.

A 3
 Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia.)  akizungumzanaBodipamojanawatendajiwaShirika  la Utangazaji la Taifa (TBC) alipofanyaziarakatikashirikahiloleoJijini Dar es Salaam.
A 4
Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikatiwaliokaa) akiwakatikapichayapamojanawatendajiwaShirika la Utangazaji la Taifa (TBC) leoJijini Dar es Salaam.
A 5
Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kushoto) akiangaliajinsivipindivyaluningavinavyotengenezwaalipotembeleaAzamMedia  leoJijini Dar es Salaam.
A 6
Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembeakibonyezakitufekatikaluningakinachoonyeshamsimamowaligikuuya Vodacom Tanzania Bara alipofanyaziaraAzam Media leoJijini Dar es Salaam.
A 7
 Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia) akizungumzanawasikilajiwaUhaiFM  alipofanyaziaraAzam Media leoJijini Dar es Salaam.
A 8
Waziri waHabariUtamaduni Sanaa naMichezoMhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwakatikapichayapamojanawatendajiwaAzam Media nabaadhiyaWatendajiwaWizarayakealipofanyaziarakatikaKampunihiyoleoJijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG