Tembo wanne leo wametinga Chuo
Kikuu cha UDOM Mkoani Dodoma na kuleta tafrani kubwa kwa wanafunzi
wafanyakazi na wakazi wa maeneo hayo, Inaaminika ni mapito yao au
shoroba na tembo husifika kwa kutunza kumbukumbu kama njia aliipita
miaka 50 iliyopita anaweza kurudia palepale na inawezekana ndilo
lililotokea leo hii. Askari wa Mamlaka ya Wanyamapori wanaendelea
kuwadhibiti ili wasilete madhara kwa wananchi.
Tags
TEMBO