BANDA MEDIA BLOG

WATANZANIA WASHIRIKI KONGAMANO LA 150 LA MOTHERS UNION AFRIKA KUSINI

 

JUMLA ya wanawake 36 wa Umoja wa Wamama wa Kikristo Tanzania (UMAKI) wakiwemo Mke wa Askofu wa Dayosisi ya Mpwapwa Dorika Kingamkono,  ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Utendaji, katibu wa UMAKI Dayosisi ya Mpwapwa Rose Kusimule, Mwenyekiti  wa UMAKI Dayosisi ya Dar es Salaam na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya UMAKI KAT,  na Katibu wa UMAKI ambaye pia ni Mratibu wa Maendeleo ya Jamii wa UMAKI Kanisa Anglikana Tanzania. Rev. Margareth Ndonde. wapo Durban Nchini Afrika Kusini Kushiriki Kongamano la Maadhimisho ya miaka 150 ya Motherrs Union, linalofanyika pamoja na mkutano mkuu kwa siku 9 kuanzia tarehe 26.09 hadi 03.10,2026, kongamano likisheheni Mada mbalimbali ikiwemo Neno la Mungu kumsifu na kumuabudu Mungu, ambapo kongamano hilo linalofanyika katika ukmbi wa ACC lilifunguliwa na Askofu mkuu wa Kanisa Anglikana Duniani lilihudhuliwa na watu zaidi 2000.



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG