Taarifa ya Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kutenguliwa Inayosambaa Mitandaoni...Ikulu Yatoa Tamko
byJohn Banda-
0
Hii Taarifa (katika picha) inasambazwa mitandaoni kwamba Imetoka
IKULU. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ,Gerson Msigwa kasema ni
ya uongo, imetengenezwa na watu wenye nia ovu hivyo ipuuzwe