Mungu Fundi Bwana...Steve Nyerere Aonyesha Magari Anayomiliki...
byJohn Banda-
0
Unaambiwa yule msanii wa Vichekesho Steve Nyerere mungu hajamnyima
utajiri wa magari...Leo ameamua kutuonyesha magari yote anayomiliki na
kuandika haya:
@Regrann from @stevenyerere2 - Mungu fundi bwana akitaka kukupa daaaa ..